Monday, June 17, 2013

MATUKIO SIKU YA KWANZA SEMINA SUNSET HALL MBEZI BEACH

Mwalimu na Mkurugenzi wa Kampuni ya mjasiriamalikwanza Dr Didas Lunyungu akitoa somo kwa wajasiriamali zaidi 1200 kwenye ukumbiwa Sunset uliopo Mbezi Beach makonde jijini Dar.


Kundi la wajasiriamali zaidi ya 1200 waliojitokeza kwenye ukumbi wa Sunset  uliopo mbezi beach makonde jijini dar
Darasa linaendelea kwa siku tatu, hapa ilikuwa ni wakati wa  somo la  kutengeza sabuni ya maji

2 COMMENTS:

  1. naomba namba za Mr.Didas, namba yangu ni 0759343905

    ReplyDelete
  2. NAHITAJI MALIGHAFI ZA KUTENGENEZA SABUNI, ILA NAMBA ZA SIMU ZILIZOORODHESHWA HAZIPATIKANI

    ReplyDelete