Friday, May 3, 2013

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI MAILI MOJA


 Muasisi wa mafunzo ya ujasiriamali nchini Dr Didas Lunyungu, akitoa somo kwa Wajasiriamali zaidi ya 800 waliojitokeza  kwenye mfululizo wa semina za siku tatu kwenye ukumbiwa Country Side uliopo kibaha Maili Moja  makoani Pwani.
 Hapa ni Mwalimu wa somo la Batiki Mama Gaitan (kushoto) akiwa katika hatua za awali za kufunga umbo la nyota tayari kwa somo la  utengenezaji wa Batika ambapo wajasiriamali zaidi ya 800 walijifnza somo hilo.
 Meneja wa Kampuni ya Mjasiriamali kwanza  ambaye pia ni Mwalimu akifundisha somo la  usindikaji wa  Maziwa  kwenye  ukumbi wa Country Side Kibaha Maili Moja mbele ya wajasiriamali zaidi ya 800.
 Kundi kubwa la Wajasiriamali  wakipeana Mikono kufurahia moja ya Mafunzo kutoka kwa walimu wa kampuni ya Mjasiriamali kwanza.
Mwali wa somo la Batiki, Mama Gaitan akioa maelekezo kwa wajasiriamali namna ya kutengeza Batiki ikiwa na umbo la Nyota.

2 COMMENTS:

  1. kwa upande wangu naomba muwe mnaweka na video zinazoonyesha jinsi ya kutengeneza batiki

    ReplyDelete
  2. kwa upande wangu nawashukuru sana kwa madini ambayo mnatupatia kwa sisi ambao tuko mbali. lakini nina ombi kwenu naomba walau muwe mnaweka video za mafunzo ambayo mnafundishaa.

    ReplyDelete