Tuesday, June 19, 2012

SEMINA KUBWA ZA UJASIRIAMALI

Mwalimu aliyebobea kwenye masuala ya kufundisha ujasiriamali Dk Didas Lunyungu akiwapa somo wajasiriamali waliojitokeza katika ukumbi wa Afri Centre Ilala jijini Dar es Salaam katika moja ya semina kubwa za kufundisha utengenezaji wa bidhaa mbalimbali.

2 COMMENTS: