TAARIFA KWA WAJASIRIAMALI WOTE
Kuanzia leo Tarehe 1.5.2013 kutakuwa na semina kubwa za Ujasiriamali kwenye Ukumbi wa Contryside Kibaha Maili Moja ambazo zitakuwa za siku tatu mfulizo.
UANDIISHAJI KWA AJILI YA SEMINA HIZI UNAFANYIKA HAPO HAPO UKUMBINI