Wednesday, June 20, 2012

WAJASIRIAMALI DARASANI

Wajasiriamali kutoka maeneo mbalimbali wakiwa 'bize' kuandika yale wanayofundishwa na Dk Didas Lunyungu (hayupo pichani) katika semina iliyofanyika kwenye ukumbi wa Afri Center  Ilala jijini Dar es Salaam siku chache zilizopita.

0 COMMENTS:

Post a Comment